Barua Pepe: info@kuwasa.go.tz  Simu (BURE): 0737 804 270 | 0737 804 271

  • Dhima YetuKutoa huduma bora na endelevu za majisafi na usafi wa mazingira zinazokidhi vigezo kimataifa kwa bei nafuu.
  • Dira YetuKuwa Mamlaka Bora katika kutoa huduma endelevu za Majisafi na Usafi wa Mazingira Nchini Tanzania.
  • AnkaraKila mwanzoni mwa mwezi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama hutoa Ankara (Bili) za maji kwa wateja na kuzituma kwa njia ya meseji fupi (SMS).
  • DSC01694
  • Mawasiliano YetuEmail: info@kuwasa.go.tz P.O Box 102,Kahama, Shinyanga, Tanzania Simu: +255-28-2710349 / 0800710034
  • Chano Chetu cha MajiChanzo chetu cha maji ni Ziwa Victoria ambako maji yanasafirishwa kwa umbali wa kilomita 117 kwa mabomba.
  • DSC02325
  • slide-img1
  • slide-img2
  • slide-img3
  • javascript carousel
  • slide-img5
Dhima Yetu1 Dira Yetu2 Ankara3 DSC016944 Mawasiliano Yetu5 Chano Chetu cha Maji6 DSC023257 slide-img18 slide-img29 slide-img310 slide-img411 slide-img512

Usomaji wa Dira

Usomaji wa dira hufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 23 kila mwezi.
Zoezi hili hufanyika kwa watumishi wa Mamlaka kupita kwa wateja ili kuchukua taarifa mpya za dira. Uniti ambazo mteja wa atakua ametumia hukokotelewa na kupata ankara.

Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Kahama ilianzishwa mnamo tarehe 21 Juni 2002 kwa sheria ya "water works Act cap 272" iliyofanyiwa marekebisho na sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2009.


KUWASA ipo katika daraja A. Hii ikimaanisha kuwa ina wajibu wa kugharamia shughuli zote za kiutendaji na Maboresho ya Huduma Chanzo chetu cha maji ni Ziwa Victoria ambako maji yanasafirishwa kwa umbali wa kilomita 117 kutoka kwenye chanzo kwa kutumia mabomba yenye vipenyo vya milimita 1200, 1100, na 750. 

 

Dira Yetu
Kuwa Mamlaka Bora katika kutoa huduma endelevu za Majisafi na Usafi wa Mazingira Nchini Tanzania.

Dhima Yetu
Kutoa huduma bora na endelevu za majisafi na usafi wa mazingira zinazokidhi vigezo kimataifa kwa bei nafuu.

 

Malengo Yetu

1. Kuboresha Upatikanaji wa MajiSafi na Salama
2. Kuboresha makusanyo ya mwezi ya huduma ya Majisafi
3. Kuboresha utunzwaji wa Mazingira na Uhifadhi wa vyanzo vya maji
4. Kuboresha makusanyo ya mwezi ya huduma ya Majitaka 
5. Kufanikisha kuboresha na kuongezwa kwa sheria ya MajiSafi na Usafi wa mazingira.

 

Ankara

Kila mwanzoni mwa mwezi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama hutoa Ankara (Bili) za maji kwa wateja na kuzituma kwa njia ya meseji fupi (SMS). Ikiwa mteja hajatumiwa Ankara kwa mwezi husika, anaombwa kufika ofisini ili kuangalia taarifa zake na kulipia Ankara husika. Aidha wateja wanaweza kufahamu Ankara zao kwa kubonyeza ukurusa ufuatao.

 

Simu: +255-28-2710349 au 0737804271 au 0737804270 Email: info@kuwasa.go.tz S.L.P 102, Kahama, Shinyanga, Tanzania.

 

Dira Yetu

Kuwa Mamlaka Bora katika kutoa huduma endelevu za Majisafi na Usafi wa Mazingira Nchini Tanzania.

Dhima Yetu

Kutoa huduma bora na endelevu za majisafi na usafi wa mazingira zinazokidhi vigezo kimataifa kwa bei nafuu.

Chanzo cha Maji

Chanzo chetu cha maji ni Ziwa Victoria ambako maji yanasafirishwa kwa umbali wa kilomita 117 kwa mabomba

 
Go to Top