Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama

( KUWASA )

Dira, Dhamira na Maadili ya Msingi

Dira

“Kuwa Mamlaka Bora katika kutoa huduma  ya Majisafi na Usafi wa Mazingira  Tanzania”.

Dhima

"Kuhakikisha huduma za maji na usafi wa mazingira zinatolewa kwa usalama, kwa njia endelevu, kwa ufanisi, na kwa usawa kwa bei nafuu ili kuhakikisha uendelevu wa mradi.".

Maadili ya Msingi

KUWASA inafanya kazi zake kwa kufuata maadili ya msingi yafuatayo;

  1. Weledi
  2. Kumzingatia Mteja
  3. Uwajibikaji
  4. Uwazi
  5. Ubunifu / Uvumbuzi.