Bei Mpya
Zifuatazo ni bei mpya za maji kuanzia tarehe 01/07/2019.
Na: | Kundi la wateja | Bei za Zamani | Bei Mpya | Wastani wa Bei kwa Ndoo (20l) | Bei ya kurudishiwa Huduma kwa waliositishiwa |
1 | Majumbani | 1,688 | 1,888 | 37.76 | 15,000 |
2 | Taasisi | 2,060 | 2,320 | 46.4 | 30,000 |
3 | Biashara | 2,165 | 2,450 | 49 | 30,000 |
4 | Viwanda | 2,327 | 2,601 | 52.02 | 30,000 |
5 | Magati | 2,000 | 2,000 | 40.00 | 20,000 |
6 | Migodi | 3,275 | 3,670 | 73.4 | 200,000 |
7 | Kuosha Magari (Car Wash) | 3,125 | 3,493 | 69.06 | 30,000 |
Aidha, Mamlaka inawatangazia kuanzia tarehe 1/07/2019 bei ya hduma ya kumwaga majitaka itakua ama ifuatavyo:
Na: | Ukubwa wa Gari la taka | Bei ya Sasa |
1 | Gari lenye ujazo wa 10m3 | 10,000 |
2 | Gari lenye ujazo wa 5m3 | 5,000 |
3 | Gari lenye ujazo wa 4m3 | 5,000 |
4 | Gari lenye ujazo wa 3m3 | 5,000 |